Sadio Mane alifunga mkwaju wa penati ulioiwezesha Senegal kuichapa Misri kwa mabao 4-2 kwa mikwaju ya penalti na kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza, baada ya fainali kumalizika bila ...